Mwanzo nilijua upo msalani Kama sio uko utakuwa nyumba ya jirani Nikapiga simu yako haipatikani Ndio unapokea sa' hivi mummy upo sehemu gani
Hata kama sijajibu naomba Samahani Ile njaa ya tumboni imepanda mpaka kichwani Sijakuaga ila jua ndio nipo njiani Ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani Ningependa niwe na wewe, ila uko utumwani
Inamaana umechoka sa mbona ni mapema Hizo shida zimechosha ntazeeka mapema
Ni kweli ndani kuna masufuria Chakula hakuna, nini nitakupikia Na Kama tukipika basi bamia Kutwa nzima na njaa kama ngamia
Nguzo ya upendo kusubiria Kwa nini unashindwa nivumilia Na mimi mbona ninakupigania Mummy rudi nyumbani, Mola atajalia
Aaah siwezi, kwa nini? Sirudi, sababu gani? Siwezi, aaah sirudi
Nguo zangu zilivyochoka kama tambala ya deki Zimetoboka unaweza kusema net Huishi madeni, dukani kwa mangi mpaka bank Na ukirudi nyumbani, mfukoni huna cent Anapanga mola, kupata kukosa ridhiki Akinipa nashukuru na kama nikikosa sibishi Kwenye swala la mapenzi, mali si kitu iyoo Kwenye mapenzi, moyo kioa kitu iyoo
Inamaana umechoka sa mbona ni mapema Hizo shida zimechosha ntazeeka mapema
Ni kweli ndani kuna masufuria Chakula hakuna, nini nitakupikia Na Kama tukipika basi bamia Kutwa nzima na njaa kama ngamia
Nguzo ya upendo kusubiria Kwa nini unashindwa nivumilia Na mimi mbona ninakupigania Mummy rudi nyumbani, Mola atajalia
Aaah siwеzi, kwa nini? Sirudi, sababu gani? Siwezi, aaah sirudi
0
Rayvanny • Baby mp3 indir - mp3 yuklə
Qeydiyyatı olmadan Rayvanny • Baby mahnısını mp3 şəklində dinləyə və ya yükləyə bilərsiniz. Ən son yeni mp3 musiqiləri gündəlik veb saytımızda yenilənir.
Həftəlik yeniliklərimizi 2025-un ən popular mp3 mahnılarını dinləyə ve yukləyə bilərsiniz. Saytda olan bütün mahnılar, saytın bazasındadır. Bəzi saytlar kimi 5 saniyə gözlə, mahnı çevirilir kimi problemlər yoxdur.
Hitster.biz saytı mp3 musiqiləri pulsuz və qeydiyyatsız yükləmək imkanı verir.
Sayta həm xarici, həm də yerli musiqilər sözləri ilə birlikdə yerləşdiririk.
İstədiyiniz mp3 mahnıları özünüz çox asan bir şəkildə sayta əlavə edə və ya artıq yüklənmiş popular mp3 mahnıları dinləyə bilərsiniz.
In order to confirm the bank transfer, you will need to upload a receipt or take a screenshot of your transfer within 1 day from your payment date. If a bank transfer is made but no receipt is uploaded within this period, your order will be cancelled. We will verify and confirm your receipt within 3 working days from the date you upload it.