Eti nilemwita my queen eminado Leo kashika njia Aloyafanya mi simanzi Nishachoka kulia Nipe Panadol changanya Chloroquine Madawa yote jazia Sumu ya panya wapi kitanzi Nishachoka dunia
Aliniahidi Nitakuwa wake kufa na kuzikana Kigoma kwa bibi Ngala mukunze na tukapelekana
Tena akanifariji Eti anafanya mipango tuanze kuona
Kumbe muongo! Alinidanganya kanifanya cartoon Kumbe muongo! Hadi safari za akasema salimi Kumbe muongo! Hawakutosheka chumbani wakafanya bafuni Kumbe muongo! Aliyoyafanya leo kwangu huzuni najuta mie Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
Wengi mnapenda sura Shepu mibinuko Wakati hamna kitu kwa mifuko Vimba kama puto kuringia uso Kijana jua kuna babu yupo
Anahudumia, anagharamia Kodi ya nyumba anamlipia Na furniture pia kamnunulia Ipo siku utaikalia
Macho kwenye pesa Macho kwenye noti Macho sio kwa handsome Macho ni kwa bosi
Chat za Whatsapp hizo ni namba za mashosti Ukitaka ufe cheki namba za kitosi Shevu fundi wa heleni kumbe fundi wa mkoleni Fundi wa mafundi yaani fundi miuno feni Ana fundi mikocheni ana fundi magomeni Ila fundi wa manzese humfikisha kileleni
Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
Waongo wao! Yaani waongo wao Waongo wao, waongo wao Tena Waongo wao, waongo wao
(Kweli kikulacho kiko nguoni mwako)
0
Rayvanny • Waongo mp3 indir - mp3 yuklə
Qeydiyyatı olmadan Rayvanny • Waongo mahnısını mp3 şəklində dinləyə və ya yükləyə bilərsiniz. Ən son yeni mp3 musiqiləri gündəlik veb saytımızda yenilənir.
Həftəlik yeniliklərimizi 2025-un ən popular mp3 mahnılarını dinləyə ve yukləyə bilərsiniz. Saytda olan bütün mahnılar, saytın bazasındadır. Bəzi saytlar kimi 5 saniyə gözlə, mahnı çevirilir kimi problemlər yoxdur.
Hitster.biz saytı mp3 musiqiləri pulsuz və qeydiyyatsız yükləmək imkanı verir.
Sayta həm xarici, həm də yerli musiqilər sözləri ilə birlikdə yerləşdiririk.
İstədiyiniz mp3 mahnıları özünüz çox asan bir şəkildə sayta əlavə edə və ya artıq yüklənmiş popular mp3 mahnıları dinləyə bilərsiniz.
In order to confirm the bank transfer, you will need to upload a receipt or take a screenshot of your transfer within 1 day from your payment date. If a bank transfer is made but no receipt is uploaded within this period, your order will be cancelled. We will verify and confirm your receipt within 3 working days from the date you upload it.